Wanawake wa Dar mmerogwa na nani?

Wewe hupendi kuitwa baby nisaidie kukata nyanya hapo na hoho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuitwa baby napenda.
Sema najua nikiitwa baby tu, kuna msaada natakiwa niutoe (kama kukata nyanya na hoho). Ndo maana sometimes naogopa kuitwa baby coz najua kinachofuata[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yakawaida hayo, halafu huwa tuna huruma hatuwapi kazi
ngumu ni hizo tu umeona mapendeko yalivyo
 
Hakika, nimeona mapendeko[emoji23][emoji23]
 
Mkiwa mtu 2 hapo nyumbani hivyo vitu lazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa, leo unapika nini na ungependa nikusaidie nn?. Nianze kuchambua mchele au nisukume chapati[emoji85][emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahizi tayari nishaandaa wewe mezani utanisaidia kumimina maziwa kwenye vikombe basi
 
Sawa, mimi usinitilie sukari kwenye maziwa. Tia asali kwenye sahani tule na mkate. Nikusaidie kuchukua juice kwa friza?? au utaenda wewe[emoji85][emoji85]
 
Sasa hizo ndiyo kazi zakunisaidia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namaliza kundaa huku nawe tayari juice ipo mezani
 
Leo umenipa kazi nyingi sana mpk mgongo unaniuma[emoji85][emoji85] naandaa juice tu, nimeshachoka siendelei tena panatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…