Wanawake wa Dar mtuhurumie basi

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
3,587
Reaction score
7,272
kumekuwa na wimbi la kutusengenya sana wanaume wa huu mkoa wetu pendwa wa dar..


Sasa hembu leo tuwacheki hawa dada zetu.. wanawake wa dar.. hivi viumbe ni hatari aisee yani ukiweza kwenda navyo sawa kwa miaka mitatu basi ww ni bingwa

tena unaweza hata kuishi mbuga ya wanyama ya serengeti na wale chui wakawa kama binamu zako tu only if ukiweza kwenda sawa na wanawake wa dar kwa miaka mitatu

nahisi wanajukwaa mnaweza kuwa mashahidi wa hiki kitu kuhusu hawa warembo wa huu mkoa pendwa mnaweza kujikuta group zima kawachanganya na kwa kila mtu anakwambia huu uhusiano uwe siri kwa sababu moja mbili tatu basi wewe unajiona mjanja unagegeda mtoto mzur wenzio wanayemtamani kumbe na mwenzako naye anajiona mjanja mjanja hivyohivyo hahaha

sasa kioja ni siku mkigundua yani nyie ndio mtahamaki lakin yeye walaaa anachukulia simple tu ndo kwanza anachukua time zake anaenda kupiga damage sehemu nyingine

imetutokea hii mimi na washkaj zangu watatu tumejikuta wote tunagegeda demu mmoja na kila mtu demu alimwambia oooh huu uhusiano mimi sitaki uwe public kihivyo kwa visababu ambavyo huwez chomoa yan kumbe anatuzunguka wote... tumejikuta tunasikitika alafu wote tukacheka

mmoja wetu alipotoa wazo tukapime tulimpa bonge la tusiii tunaendaje kupima na hatuumwi aalaaaaaah... hatuna kiherehere cha hivyo sisi
 
sasa wewe hauoni kuwa hiyo ndiyo fresh "" hakuna kugandana gandana hapo "" mkitafutana ni for sex only....yaani kwanza hata huwezi kuumia moyo "" binafsi mimi nayapnda sana mahusiano ya namna hiyo "" hapo mnakuwa MNA date lakini kama washikaji Fulani hivi ""

kama una shindwa kuhandle hiyo situation kwa hapa dar "" mkuu ndio utaweza Ku survive kwa madiba.."""""..***** huko unademu wako unaishi nae ikitokea mmemwagana""" anahamia fleet ya chini kwa""" mchizi mwingine wanapika na kupakuwa "" na huyo Jamaa"""" wala hajali kuwa alikuwa"""" demu wako "" demu ndio kabisaaaa""wala mshipa """"wa noma hana"" na mademu wahuko kwa foreigners"""" ni watata ile mbaya...waweza kumzingua"""" akaipasua gari yko vioo vyote Ama anakuvizia usiku ukiwa umelala anakubandika pasi ya mgongoni ....""hahaaaaaa"""

mkiendekeza ""kupnda penda hovyo """mtakuja kufa mapema ..."""fanyeni kazi vijana
 

aaah huko kwa madiba mmetisha sana mzee
 
Sharing is caring. Nyie mnapenda mtupangie nyie tu eeh. Mwendo ni kupangana

hahahah... dada angu lakini sisi huwa tunawapanga msio juana yani mmoja kimara mwingine masaki alafu mwingine kigamboni

sasa yy katuchanganya washkaj ambao ni kama ndugu yan alafu alivyo mjanja sasa kila mtu alimwambia lets keep it under the duvet watu wasijue bhna sasa siunajua na sisi tusivyopenda comitment basi kila mmoja akasema yeeeeeeees toto zuri namna hii halafu halitak comtment

kumbe yeye ndio anatugegeda sisi na siyo sisi kugegeda yy sheeeeenz kabisa
 
mlikuwa mnatengenezewa bom mnabaati mmeshtuka

na kweli aisee mungu mkubwa

na hiyo ilitokea baada ya mwenzetu uvumilivu kumshinda akaamua kutuambia hivi mnamjua yule mtoto mkali anayepiga job ofisi fulan wote tukawaa enheee jamaa akasema shemeji yenu yule mamaaaeeee hapo kila mtu akaingia gallery nakuanza kutoa pic huku akiuliza si ndio huyuuu

kilichofata nimeshasimulia huko juu
 
afu wewe ulikuwa ukipitia sana pale UVINZA kwa hiyo mkuu ulikuwa ukideki milenda ya washikaji zako

kaka upo sahihi kabisa lakn na uhakika hata wenzangu nao wamedeki mambo yangu sana tu

mtoto mkali kichizi hata sijui kakosa nn hadi kaamua kuwa kicheche mamaeee
 
Uzuri wa sisi wanaume...

Hata baada ya kugundua msichana anachanganya hatugombanagi zaidi ya kila mmoja kuelezea vile alivyokua anapewa/kumpa mambo...


Ila mwanamke akigundua unachanganywa ni atamtafuta huyo mwanamke/wanawake wengine, watasemana na hata kupigana...


Cc: mahondaw
 
Nina rafiki angu ndo zake. Kwenye kundi alitembea na watu kama kumi. Halafu anakwambia siri yako. Kuna mmoja alikua kama bf wake. Sasa siku akilewa anamwambia yule mwanaume unajua fulani nimetembea nae eeh.
Anasema wao mbona wanapenda kutupanga sisi sasa mimi nimelipizia wanawake wengine [emoji23][emoji23]
 
kaka upo sahihi kabisa lakn na uhakika hata wenzangu nao wamedeki mambo yangu sana tu

mtoto mkali kichizi hata sijui kakosa nn hadi kaamua kuwa kicheche mamaeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


hahah... kwahyo siku hizi mnatulipizia duuuh

ila nyie mmezidi
 

wanaume oyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…