Wanawake wa Dar mtuhurumie basi

Wanawake wa Dar mtuhurumie basi

Nina rafiki angu ndo zake. Kwenye kundi alitembea na watu kama kumi. Halafu anakwambia siri yako. Kuna mmoja alikua kama bf wake. Sasa siku akilewa anamwambia yule mwanaume unajua fulani nimetembea nae eeh.
Anasema wao mbona wanapenda kutupanga sisi sasa mimi nimelipizia wanawake wengine [emoji23][emoji23]
Duuh wanaooa bongo wana taabu kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ni mwendo wa chapa ilale.
 
sasa wewe hauoni kuwa hiyo ndiyo fresh "" hakuna kugandana gandana hapo "" mkitafutana ni for sex only....yaani kwanza hata huwezi kuumia moyo "" binafsi mimi nayapnda sana mahusiano ya namna hiyo "" hapo mnakuwa MNA date lakini kama washikaji Fulani hivi ""

kama una shindwa kuhandle hiyo situation kwa hapa dar "" mkuu ndio utaweza Ku survive kwa madiba.."""""..***** huko unademu wako unaishi nae ikitokea mmemwagana""" anahamia fleet ya chini kwa""" mchizi mwingine wanapika na kupakuwa "" na huyo Jamaa"""" wala hajali kuwa alikuwa"""" demu wako "" demu ndio kabisaaaa""wala mshipa """"wa noma hana"" na mademu wahuko kwa foreigners"""" ni watata ile mbaya...waweza kumzingua"""" akaipasua gari yko vioo vyote Ama anakuvizia usiku ukiwa umelala anakubandika pasi ya mgongoni ....""hahaaaaaa"""

mkiendekeza ""kupnda penda hovyo """mtakuja kufa mapema ..."""fanyeni kazi vijana
Duh.!
 
Duuh wanaooa bongo wana taabu kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ni mwendo wa chapa ilale.

ndomana unaambiwa hakuna uamuzi mgumu kama kuowa bongo... maana unakuwa unawaza mengi mzee
 
Uzuri wa sisi wanaume...

Hata baada ya kugundua msichana anachanganya hatugombanagi zaidi ya kila mmoja kuelezea vile alivyokua anapewa/kumpa mambo...


Ila mwanamke akigundua unachanganywa ni atamtafuta huyo mwanamke/wanawake wengine, watasemana na hata kupigana...


Cc: mahondaw
Hahahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili zetu wanawake bana...
 
Back
Top Bottom