cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Wanawake wa Dar,tukutane hapa tujadili mstakabali wa wanaume wa Kinondoni
Hali si shwari jamani,tunawasaidiaje jamani
Kwa utafiti huu kuwa "Wanaume wa Kinondoni wana matatizo ya nguvu za kiume"
Tutaishije jamani, wanaume wa mikoani karibuni KinondoniView attachment 1101948