Wanawake wa Dar tukutane hapa kujadili mstakabali wa wanaume wa Kinondoni

Kumbe tujisogeze sisi wa mikoani tukajipigie mijimama na misista du huko
 
Ukisoma claims za kugawanyika kwa sokwe na binadamu, mambo yalianza hivi hivi.
 
Punyeto na vitambi vya Minyoo ni janga la kitaifa hatua za haraka zichukuliwe.
Hakuna mwanaume wa Kinondoni ambaye mwanachama wa CHAPUTA. Labda hivyo vitambi inawezakuwa sababu.
 
Jamani hamhitaji soda na karanga wakati kikao kinaendelea?
 
Kikubwa zaidi wanawake was kinondoni mmebweteka kwani kwani unapanda gari ngapi ili ufike Temeke....
Njo TMK wanaume huku tukuonyeshe jinsi wanaume wa TMK tulivyo... Wengi wao ndio wanatuzalilisha wanaume wa Dar kwa kuwa mashoga.. matejah.. na kushindia chips kuku.. unahisi nguvu watatoa wapi...
USHAULI kikubwa ni kufanya mazoezi na kuondoa vitambi visivyo vya lazima.. km wenzenu TMK wanaume tunavyo fanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…