wakuu habarini za mida hii...
tumeshaskia/tumeona mara nyingi sana sifa za wanaume wa dar vs sifa za wanaume wa mikoani na imefikia hatua mpaka matabaka yanajitokeza kwenye thread mbalimbali..'mara kidogo,ikiletwa thread ya mwanaume anayelalamika au kulialia utaskia anaambiwa we mwanaume wa dar..mara hivi mara vile......!!! mambo kibaoooo!!
hili battle bado linaendelea sana tu....
sasa ningependa kujua kwa hawa wenzetu hawa wa ubavu wetu, pia ni mama zetu kwa upande mwingine(wanawake), tukiangalia wanawake wa mikoani vs wanawake wa dar!
nyie wanawake mje huku.. wa mikoani mje tujue sifa zenu zikoje na wa dar sifa zenu zikoje kwa nyanja zote za kijamii,mahusiano,familia na n.k!