wanawake wa dar vs wanawake wa mikoani....

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
985
wakuu habarini za mida hii...

tumeshaskia/tumeona mara nyingi sana sifa za wanaume wa dar vs sifa za wanaume wa mikoani na imefikia hatua mpaka matabaka yanajitokeza kwenye thread mbalimbali..'mara kidogo,ikiletwa thread ya mwanaume anayelalamika au kulialia utaskia anaambiwa we mwanaume wa dar..mara hivi mara vile......!!! mambo kibaoooo!!
hili battle bado linaendelea sana tu....

sasa ningependa kujua kwa hawa wenzetu hawa wa ubavu wetu, pia ni mama zetu kwa upande mwingine(wanawake), tukiangalia wanawake wa mikoani vs wanawake wa dar!

nyie wanawake mje huku.. wa mikoani mje tujue sifa zenu zikoje na wa dar sifa zenu zikoje kwa nyanja zote za kijamii,mahusiano,familia na n.k!
 
Halafu tukija tuseme vipi??
Mie mwanamke..
Utoto huu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Huwa siamin km watu wanaotokea sehemu fulan wote tabia zao hufanana...
tabia, muonekano n.k hutofautiana kwa mtu mmoja na mwngne na sio sehemu moja na nyingne
 
wakuu habarini za mida hii...

tumeshaskia/tumeona mara nyingi sana sifa za wanaume wa dar vs sifa za wanaume wa mikoani na imefikia hatua mpaka matabaka yanajitokeza kwenye thread mbalimbali..'mara kidogo,ikiletwa thread ya mwanaume anayelalamika au kulialia utaskia anaambiwa we mwanaume wa dar..mara hivi mara vile......!!! mambo kibaoooo!!
hili battle bado linaendelea sana tu....

sasa ningependa kujua kwa hawa wenzetu hawa wa ubavu wetu, pia ni mama zetu kwa upande mwingine(wanawake), tukiangalia wanawake wa mikoani vs wanawake wa dar!

nyie wanawake mje huku.. wa mikoani mje tujue sifa zenu zikoje na wa dar sifa zenu zikoje kwa nyanja zote za kijamii,mahusiano,familia na n.k!
Nelly wanawake Wa mikoani wanaweka viatu kwenye friji
Ila wakizoea dar haongei kisukuma tena
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Wanawake wa mikoani tuko shamba na hivi mvua za vuli zimeanza kunyesha...!!
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Back
Top Bottom