Wanawake wa Dar wanaongoza kwa kuvaa mawigi na vitambi

yaan alosema wanaume wa dar ni shida kweli alifanya utafiti,

wanaume wa dar wana vitambi mbinuko huku wengi ni 30+ kula kulala, hawajui hata bei ya unit ya umeme ila madoido kwa keyboard hatari[emoji15] [emoji38] [emoji38]
 
kwenye kucha hapo balaa,bint anakucha kama jini mahaba,sasa wakiwa kule faragha si balaa tupuu unahis kama anakufinya vile kila mkono unapopita[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ,kweli mchina kiboko,tako,kope nywele,kucha,rangi,hatariiii tupuu
 
Juzi dada mmoja kanishangaza sana

Nilikuwa nimekaa sinza sehemu flani, akaja kwenye gari na jamaa mmoja,

Dada nywele zake zilikuwa fupi, nzuri na zisizonashida

Ghafla namuona kupitia kioo cha mbele cha gari yao anakazana kuvaa wigi, linamgomea ila analazimisha

Alipoona halikai nikaona wameondoka eneo la tukio
 
Hahaha hawajiamini sijui kwa lipi
 
yaan alosema wanaume wa dar ni shida kweli alifanya utafiti,

wanaume wa dar wana vitambi mbinuko huku wengi ni 30+ kula kulala, hawajui hata bei ya unit ya umeme ila madoido kwa keyboard hatari[emoji15] [emoji38] [emoji38]
Tutake radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…