Wanawake wa Dar

Wanawake wa Dar

mmakondehuru

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
385
Reaction score
149
Nmekuwa nasikia wana jb wakitaja neno kama "wanawake wa dar",napenda mnieleweshe hawa huwa ni wanawake wa namna IPI na wana tofauti gani na wanawake niwajuao mm?
 
Ukimkaribisha mmoja anakuja na timu na wengi huwa hawajajiandaa kufadhili timu mwisho wake wanaume huingia mitini.
 
Ni wanawake ambao wengi wao wana fangasi kwenye sehemu zao siri kutokana na maji wanayoyatumia.
Asante
 
wanawake wa Dar ndo sisi
1.tuna chura wa kutosha
2.wengi wetu ni weupe naturally
3.ni laini mnooo(ngozi plus viungo vyetu vyote)
4.tunapenda pesa na tunajua kuzitafuta kwa hali yoyote ile
5.tuna huruma sana pia
6.ni wasafi
7.tuna mapenzi ya kweli kwa wanaume wa kweli
8.wengi wetu siku hizi ni wasomi
8.kitandani usiombe

ongeza nyingine hapo
 
kwa kujipanga barbarani kuuza K ndo wanaongoza
 
wanawake wa Dar ndo sisi
1.tuna chura wa kutosha
2.wengi wetu ni weupe naturally
3.ni laini mnooo(ngozi plus viungo vyetu vyote)
4.tunapenda pesa na tunajua kuzitafuta kwa hali yoyote ile
5.tuna huruma sana pia
6.ni wasafi
7.tuna mapenzi ya kweli kwa wanaume wa kweli
8.wengi wetu siku hizi ni wasomi
8.kitandani usiombe

ongeza nyingine hapo
Mnagawa chura
 
Duh! Kama ni hvo siwataki wanawake wa dar
 
Back
Top Bottom