Wanawake wa Dar

Dar cpapendi kuishi wanahishi kwa shida sana kula mara moja wanakla jioni sa 1 ndo mazima chakla kidogo maji lita 10 wanazuga na vimatunda kama unataka kupiga Papuchi basi unatenga siku nzima muda mwingi kwenye foleni
 
Utatusumbua mkuu.
Kwa nini mkuu, nasikia mjini chuo kikuu, nadhani nikifanikiwa kufika mjini Dar,
bas nitatunukiwa degree yangu ya Bachelor of Arts in Migration [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3]
 
Hili povu si bure. Ngoja waje[emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji87]
 
Hauko mbali sana na ukweli lakini sisi wanaume wa Dar hatuangalii hayo sijui umbeya uvivu sisi tunaangalia Reception
 
Wanatumia zaidi principle ya mafiga matatu, ana mume ili kujenga heshima ameolewa, anabwana muuza genge sokoni ili akienda sokoni nyanya, vitunguu na mengineyo anachukua bure, pia ana pedeshee kwa ajili ya kununua vipodozi, kutoa hela ya vikoba, na kumtoa out.
 
Mhhhh eti we we c mwanamke was Dar unaona aibu wakati unakaa magomeni mapipa mkuu!!
Usinidhalilishe bana. Mimi mwanamke wa mkoani. Tena makao makuu ya nchi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
duniani iwekwe tuzo za wachukiaji bongo kuna watu wanavipaji (mnamchukia hadi mleta mada)
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…