Wanawake wa dizaini hii wapo?

Grau

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
4,501
Reaction score
4,226
Mi nataka kuulza eti kuna baadhi ya wanawake kufanya nao mapenzi mpaka uoe? na je inaleta sense kwel!
 
MIAKA YA SIKU HIZI NI TOFAUTI NA ZAMANI.

SASA HIVI NI LAZIMA UMUONJE MDADA NA KUHAKIKISHA UNAMPA MIMBA NA NDOA NA HUU NDO MSINGI MKUU

NA WATU WENGI WANAFANYA HIVI KWA SABABU ILI KUEPUKANA NA TATIZO LA UGUMBA
 
Mimi nilkua nae kama hyo mkuu nikamkubalia nikaa kama miezi 9 hivi sijamuiza habari zozote na kufanya mapenzi cha ajabu akaja kunambia yeye mwenywe eti amevumilia ameshindwa ha ha ha sasa Mimi najilia zangu tuu ila nitamuoa mungu akipenda mwanamke hanaga msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…