Wanawake wa dizaini hii wapo?

Mi nataka kuulza eti kuna baadhi ya wanawake kufanya nao mapenzi mpaka uoe? na je inaleta sense kwel!
Hamna. Wakati wewe unasubirishwa,wenzio wanatafuna kwa fujo!
 
Nilishangaa eti..


Eeh hebu sema toka lini tumeanza kuchekana mawazo. Maana nimeandika ukanicheka shem
Nimefurah shem loooh naanzaje kukucheka kwa mfano
 
Kama wapo na mimi natafuta mmoja, maana siwezi oa "DEMU WA WENYEWE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…