supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Shunie na Geny ni visu asikwambie mtu, sema shunie muongo muongo[emoji23]Umeonaee...alaf ndio anasema et ye baboon [emoji2]
wazee wa kuchangamkia fursaMbona unanihadithia?? Naomba nishuhudie mwenyewe
mbayyaaaaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] hao wengine unawatazamia mita 200!!Ah wapi cleopatra[emoji23] [emoji23]
Huwezi kuwa mbaya kwa kila mtu
sumbai mbona nahisi ww una kibamia [emoji28]Hahahaha hahaha sijui wenye bamia walimkosea Nini Muumba. Anyway muwafundishe zile style nyepes.
Pm yako IPO wazi sister?? Au ndio ushablokMwehu sana huyo msukuma
We ukaopoe huko vitu vyako vya ajabu ajabu uje utusingizie sie wabaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
safi kaka angu kipenziAsante sana, tuko salama, za kwenu
kweli tena bayaaHahahaha unakimbia kimya kimya....unazima na kasimu
Umeonaee...alaf ndio anasema et ye baboon [emoji2]
Nishabloki samingi sanaPm yako IPO wazi sister?? Au ndio ushablok
Mimi tena nakuanzishia uzi kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]omba baba uje ututangaze
Hahaha sasa jamaa ananipa maneno tuu wakati mi nataka nikamate fursawazee wa kuchangamkia fursa
wewe si umesema apo una bahati mbaya kalibia three times unakutana na wabaya tu umu hapana kwakweliHahahahahaaaa" kuna unayemfaa inawezekana hata ikawa mm kila mtu anatafsiri yake ya uzuri
wacha weeehhata mm wakaka waukweli aiseeh!
najua mnasoma hapa nawaambia kabisa wazuri sana tu!
very charming aiseh!
unacheka mpk basi daah!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikaoge Leo!!KAMA PM YA MWANAMKE IKO EMPYTE NA HATONGOZWI BASI AKAOGE BAHARINI AISEE
HahaaaaSasa usije ukawa hujawahi sumbuliwa hata na kameseji kamoja then ujidai kufanya ufungaji hewa
we supermarket mm ni mbaya acha cheusiiiii kibonge kifupiShunie na Geny ni visu asikwambie mtu, sema shunie muongo muongo[emoji23]
Duh....sumbai mbona nahisi ww una kibamia [emoji28]