Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Unaingia kichwa kichwa unapigwa za uso[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mwambie tukutane stendi ya ubungo halafu unamthaminisha kwa mbali km mita 200
Loohh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabaya kazi IPO!
 
Hahaha mkuu inabdi ujaribu naww kila mtu na bahati yake ase... m niliishia hapo..[emoji23] [emoji23]
Sauti kama kasuku adimu sikuhiz watt wakike wanagigida konyagi unafikir hyo sauti watakua nayo [emoji23]

Vipi lakini ulivyoongea nao kwenye simu sauti zao! zinamtoa nyoka pangoni, kasuku au kama kinanda[emoji23]
Hahaahahaha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha mkuu inabdi ujaribu naww kila mtu na bahati yake ase... m niliishia hapo..[emoji23] [emoji23]
Sauti kama kasuku adimu sikuhiz watt wakike wanagigida konyagi unafikir hyo sauti watakua nayo [emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sauti inakua kama ya chura
 
Huwez jua labda Mungu kaniepusha na mabaya
MKUU KAMA HAUJAWAI KUONANA NA WATOTO WA HUMU POLE SANA,NILIOKUTANA NAO MIE KIMISHEMISHE NI WAKARE HATARII MKUU HUWEZI KUAMINI NISHAWAI KUTOKWA NA JASHO MWILI MZIMA KWA KUONGELESHWA
 
Hahahahaaa" tuma pichaa " nipe jina lako la IG au FB ndio dawa yenu sikuhz, maana hata tuma picha haisaidii sana kuna watu wanapicha zao special hzo wakiambiwa tuma pichaa..lazma zianze hzo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom