Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Hahahaha Kweli kabisaa.... Ila mkuu ulitaka mwanamke aweke avatar kulingana na kiwango chake cha uzuri
No I can't judge abt jina au avatar bt for my research nimeona hiv vitu havirelate na mtu halisi 80% hiv...
Haha huwez weka kulingana na kiwango chako cha uzuri maana pia sometmz mtu anaweza akajiona ni mzuri sana au kiasi yan ni ngumu hiv ndivyo jf ilivyo dats al..
 
Vipi lakini ulivyoongea nao kwenye simu sauti zao! zinamtoa nyoka pangoni, kasuku au kama kinanda[emoji23]
Hahaha mkuu inabdi ujaribu naww kila mtu na bahati yake ase... m niliishia hapo..[emoji23] [emoji23]
Sauti kama kasuku adimu sikuhiz watt wakike wanagigida konyagi unafikir hyo sauti watakua nayo [emoji23]
 
Kweli kabisaaa!!

tunafunga kwa kuwa watu wengine wapumbavu

Mi ht ukiskrinishot 'unanila shauri yako'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli ata mm sijali atajua yy anamuonyesha screenshot
 
Hahaha mkuu inabdi ujaribu naww kila mtu na bahati yake ase... m niliishia hapo..[emoji23] [emoji23]
Sauti kama kasuku adimu sikuhiz watt wakike wanagigida konyagi unafikir hyo sauti watakua nayo [emoji23]
Poa mkuu ngoja nitafute sample nitarudi na mrejesho kamili[emoji1] [emoji1] [emoji23]
 
Jf unaweza ukapenda avatar ukafikiria dem atakua chombo kumbee lahaulaa..nilishasemaga sitafuti tena dem jf..maana mara 3 zote vry disappointed, jina zurii avatar nzuriii ila sasa....ngoja niishie hapo
Hahahhh pole
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dash!

mababoon tunakomaaa
Hahahahaaa" tuma pichaa " nipe jina lako la IG au FB ndio dawa yenu sikuhz, maana hata tuma picha haisaidii sana kuna watu wanapicha zao special hzo wakiambiwa tuma pichaa..lazma zianze hzo
 
Ndio wapi huko mkuu, tuambie tufaidi wote
MKUU KUNA MITANDAO HATARI HADI YA MAKAHABA WA KIBONGO WAMEWEKA NAMBA ZAO NA MAPICHA HATARI ANAKUFUATA HADI ULIPO
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aiseeehh!pole sana!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewee!unajua we wajua wachat na cleopatraa!!

kumbe kina sie mababoon mwisho wa Siku ndo mnatuskrini shot!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]geni onea huruma mbavu zangu
 
Back
Top Bottom