Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

'mwanaume, kiumbe kinachokaribia kutokomea'
Aisee kama tembo wetu!! Inasikitisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!

sikujua km jf kuna baadhi ya wanaume wapumbavu hivyoo!!
 
Jf unaweza ukapenda avatar ukafikiria atakua dem atakua chombo kumbee lahaulaa..nilishasemaga sitafuti tena dem jf..maana mara 3 zote vry disappointed, jina zurii avatar nzuriii ila sasa....ngoja niishie hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aiseeehh!pole sana!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewee!unajua we wajua wachat na cleopatraa!!

kumbe kina sie mababoon mwisho wa Siku ndo mnatuskrini shot!
 
Kuna Dada mmoja alini PM humu humu kuhusu interview ya ilala kaz za serikalin.
Kesho yake tukakutana kwenye eneo la interview, akanidesaaa weee mwishon kapata kazi now anatoka shavu tu.

Sa nyie shaur yenu fungeni fungeni tu mpishane na fursa

wakiwa na shida wanasumbua PM hao tena wanabembeleza hatari kumbe kazi hawana mbwembwe kibao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aiseeehh!pole sana!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewee!unajua we wajua wachat na cleopatraa!!

kumbe kina sie mababoon mwisho wa Siku ndo mnatuskrini shot!
Haha amna kuscreenshot unakausha tu mtu nakuendelea na mambo mengne..mtafunga hzo dm kwa muda mtakuja fungua tu
 
Unaingia pm kwa wanawake wote wa jamii forum yaonekana we mbayaaaa
 
Jf unaweza ukapenda avatar ukafikiria dem atakua chombo kumbee lahaulaa..nilishasemaga sitafuti tena dem jf..maana mara 3 zote vry disappointed, jina zurii avatar nzuriii ila sasa....ngoja niishie hapo
mkuu nenda hintwe kuna watoto wazuri sana wala hawasumbui
 
Back
Top Bottom