Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mie niko poa kabisa kakake. Pole kwa majukumu.Asantee, niko taiti sana na kazi dadake mie, mzima lkn!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie niko poa kabisa kakake. Pole kwa majukumu.Asantee, niko taiti sana na kazi dadake mie, mzima lkn!
Mnawatongoza sana....Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni mnaonyesha udhaifu kwa kulock PM
OhoooKaribu tena mjini!
eehhh!!karibu mjinii!!Ohooo
Nashukuru sana dadanguMie niko poa kabisa kakake. Pole kwa majukumu.
Sheria za jf haziruhusu kuweka mambo ya pm, skrini shot zimeanza lin?acha tu utesekee...!!
na pm hunipatii!!
naogoap skrinishott[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Karibu sanaPoa dadake mie, niliwamis sana
Asantee, naona hukutimiza...Karibu sana
Upogi jmn
Oops sorry, ntaitimiza my dearAsantee, naona hukutimiza...
Itakuwa vyema sana dadanguOops sorry, ntaitimiza my dear
Mzima jmn niliwamis dada zangu hadi bathiiiNipogo kakaake, mzhima lakini..
Hivi lini mtaacha kunisingizia?
Ohooo akome kabisa kabla cjamrekodi nimrushe mtandaoni afukuzwe na Ndalachako