Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanikakwambia humu kafata mwanaume jamani!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
mwingine karidhika na kuwa single
Wapi nyie achieni bwana wengne wanapimia skills zao zaku aproach humo"
Mkizingua tunawatongozea kwenye thread humu humu kwan kitu gan [emoji23]
 
Wapi nyie achieni bwana wengne wanapimia skills zao zaku aproach humo"
Mkizingua tunawatongozea kwenye thread humu humu kwan kitu gan [emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hata mie naona kabisa!!

tutongozeni tu!!hata hapa!

mie hata ukinikaaa...ukija kuntumbua utajua mwenyewe hiyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani shi ngapi?

Kwanza utamu tulipata wotee....!!

Halafu hakikisha huna kibamia!!!
Utajutaaaa!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hutajuta naomba tu uwe na sehem nipaki huu mzigo maana ni heavy .. sitakuangusha [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hutajuta naomba tu uwe na sehem nipaki huu mzigo maana ni heavy .. sitakuangusha [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akuuuhh!sitaki mie
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hata mie naona kabisa!!

tutongozeni tu!!hata hapa!

mie hata ukinikaaa...ukija kuntumbua utajua mwenyewe hiyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani shi ngapi?

Kwanza utamu tulipata wotee....!!

Halafu hakikisha huna kibamia!!!
Utajutaaaa!!
Hakyaan wenye vibamia wanabaguliwa mnoo..... Dah
 
Jf unaweza ukapenda avatar ukafikiria dem atakua chombo kumbee lahaulaa..nilishasemaga sitafuti tena dem jf..maana mara 3 zote vry disappointed, jina zurii avatar nzuriii ila sasa....ngoja niishie hapo
We jamaa una bahat mbaya....
 
Ubaya zaidi ni pale wanawake wenzako wanazungumzia PM zao zinajaa wakati ya kwake haijai au haina msg kabisa..akiwa na stress anaweza kubadili avatar nzuri nzuri kila baada ya siku chache
 
Kabla hata ujaomba picha unaweza kua umeona dp tu uka [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unaingia kichwa kichwa unapigwa za uso[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mwambie tukutane stendi ya ubungo halafu unamthaminisha kwa mbali km mita 200
 
Back
Top Bottom