supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Sasa sikiza nikwambie kitu, kuna dawa nauza ya kuongeza shepu na chura kidogo bei nafuu Buku tu(1,000Tshs)[emoji23]aaahhh!![emoji57] [emoji57] [emoji57] wapi!!ugly an old baboon!!
nimefurahi!
go straight to the point sio salaam tu hi, umeamkaje, ukiludi tena hiWEWE UNATAKA PM GANI SASA UTUMIWE?
sure yaani!wacha weeeh
Vumilia MkuuKumbe ulikuwa bado hujafunga?? Kwanini unanidanganya lakini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio km sitakai Ila tukiamalizana usije kuntamgaza sasaaa!!Ngoja @genivero na Mulhat Mpunga wajibu.... Maaana hao ndio hawatak vibamia
akuuuh!Sasa sikiza nikwambie kitu, kuna dawa nauza ya kuongeza shepu na chura kidogo bei nafuu Buku tu(1,000Tshs)[emoji23]
Aisee mm naiogopa sana acha tu niendelee hivihivi kuiogopasure yaani!
shunie mwanzo nilikua naogopa Ila sasa hivi nna marafiki wengi tu!
jf ni nzuri sana km utaitumia kwa akili pia!!
Ila km utaitumia vbaya ni mbaya!hapa ni km msitu!tembea kwa uangalifu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nshakutana nao wazuri hao!!VIZURI ILA MIE JINSIA ZOTE NAKUTANA NAZO SASA SIJUI WEWE WA JINSIA YAKO USHAWAI KUKUTA NAO
Huwezi kuwa mbaya kwa kila mtu lakini utakuwa bora na mzuri kwa wale wanao kustahili.we supermarket mm ni mbaya acha cheusiiiii kibonge kifupi
mm baboon kwa kila mtuHuwezi kuwa mbaya kwa kila mtu lakini utakuwa bora na mzuri kwa wale wanao kustahili.
hata mm nlikua km wewe!Aisee mm naiogopa sana acha tu niendelee hivihivi kuiogopa
Ndo maana tunakupenda..mtaani ukipita maskani kwetu unatuacha hoi sana[emoji23] [emoji23]akuuuh!
nimeridhika na mwili wangu huu!
Mtengenezee mazingira itakua unakaza sana ndio mana kila siku anatoa Hi 2 [emoji2] onyesha ushirikiano "...go straight to the point sio salaam tu hi, umeamkaje, ukiludi tena hi
ushirikiano mbona unampa kumjibu salaam yake badae ataludi tena kusalimiaMtengenezee mazingira itakua unakaza sana ndio mana kila siku anatoa Hi 2 [emoji2] onyesha ushirikiano "...
Go straight to the point hv mnajuaga how hard it is
Kuhusu weusi usijali, hiyo ndo rangi adimu..kwanza weupe ungekuwa dili ubuyu usingwe paka rangi[emoji23] [emoji23]mm baboon kwa kila mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo maana tunakupenda..mtaani ukipita maskani kwetu unatuacha hoi sana[emoji23] [emoji23]
Oohhata mm nlikua km wewe!
mwanzo lazima uogope tu!
Ila si kila pm unajibu zingine unapotezea tu!
kuna watu wazuri humu with gud heart pia!