Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

hata mm wakaka waukweli aiseeh!

najua mnasoma hapa nawaambia kabisa wazuri sana tu!

very charming aiseh!

unacheka mpk basi daah!!
VIZURI ILA MIE JINSIA ZOTE NAKUTANA NAZO SASA SIJUI WEWE WA JINSIA YAKO USHAWAI KUKUTA NAO
 
sure yaani!
shunie mwanzo nilikua naogopa Ila sasa hivi nna marafiki wengi tu!

jf ni nzuri sana km utaitumia kwa akili pia!!

Ila km utaitumia vbaya ni mbaya!hapa ni km msitu!tembea kwa uangalifu!
Aisee mm naiogopa sana acha tu niendelee hivihivi kuiogopa
 
japo mimi ni miongoni mwa watajwa hapo juu ila wala sihofii kudabwa ni UPUUZI niliougundua humu tu ndo umenifunza.... ningekuwa KICHECHE basi ningekuwa na msururu wa NEW ID everyday.
 
go straight to the point sio salaam tu hi, umeamkaje, ukiludi tena hi
Mtengenezee mazingira itakua unakaza sana ndio mana kila siku anatoa Hi 2 [emoji2] onyesha ushirikiano "...
Go straight to the point hv mnajuaga how hard it is
 
Back
Top Bottom