BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Hahahahaa du [emoji2] ..katika kila watanzania wanne kuna kichaa 1 c umesikia tathmini ya juziushirikiano mbona unampa kumjibu salaam yake badae ataludi tena kusalimia
umeonaa eehhh!!uko sawa kabisa!japo mimi ni miongoni mwa watajwa hapo juu ila wala sihofii kudabwa ni UPUUZI niliougundua humu tu ndo umenifunza.... ningekuwa KICHECHE basi ningekuwa na msururu wa NEW ID everyday.
Wewe ni Huyo hapo profile??? Aiseee....Aisee mm naiogopa sana acha tu niendelee hivihivi kuiogopa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiniignore nakugongea like kusudi[emoji23]
Ili?Please usifunge!
iyo avatar fake mm ni baboonWewe ni Huyo hapo profile??? Aiseee....
HahahhhHahahahaa du [emoji2] ..katika kila watanzania wanne kuna kichaa 1 c umesikia tathmini ya juzi
Hazimtoshi huyo aiseeUnadhani kuna asiependa fursa basi?
Zinapendwa sana tu. Ila ndohivo wengine ustarabu wao unasoma 0....
We fikiria jianaume zima linasambaza vitu visivyo na mashiko na kuzusha uongo,zinamtosha kweli huyo?
Yap. Jf haina haja ya kublok pm sana unatakiwa kuwa na akili ya namna ya kutumia.sure yaani!
shunie mwanzo nilikua naogopa Ila sasa hivi nna marafiki wengi tu!
jf ni nzuri sana km utaitumia kwa akili pia!!
Ila km utaitumia vbaya ni mbaya!hapa ni km msitu!tembea kwa uangalifu!
Haahahaha baboon??? Ndio Niniiyo avatar fake mm ni baboon
Kweli kabisa don't trust anyone here!!Yap. Jf haina haja ya kublok pm sana unatakiwa kuwa na akili ya namna ya kutumia.
Kwa wanawake kusumbuliwa hakuepukiki ila ni akili ya maanamke kukubali kusumbuliwa.
Ila usimaamwin mtu yoyote jf.
kabisa hutakiwi kumwamini mtu umuYap. Jf haina haja ya kublok pm sana unatakiwa kuwa na akili ya namna ya kutumia.
Kwa wanawake kusumbuliwa hakuepukiki ila ni akili ya maanamke kukubali kusumbuliwa.
Ila usimaamwin mtu yoyote jf.
Ndio maaana kublok pm naona sio busara saana, unaweza ukaikosa Banat hivi hivi.....Kweli kabisa don't trust anyone here!!
Hapa stori tuu!!
Ila wapo wema pia!
hahahhh baboon nyani mzee kitu kama hikoHaahahaha baboon??? Ndio Nini
Nikose tu!nshachoka mie..Ndio maaana kublok pm naona sio busara saana, unaweza ukaikosa Banat hivi hivi.....
Geny hebuniambie mimi simwambii mtu. Pm kwako zinakuja kweli au unazuga tu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Kweli kabisa don't trust anyone here!!
Hapa stori tuu!!
Ila wapo wema pia!
kabisa hutakiwi kumwamini mtu umu
Baboon ndio wanapendwa hao......hahahhh baboon nyani mzee kitu kama hiko
bahati ipi sumbai mm mtu kaja kanisalimia hi nikamjibu akaniambia naomba no yako sijamjibu akatuma tena mm nakutaka naomba no yako nataka tukutane nikamjibu jibu moja tu sijui kama ataludNdio maaana kublok pm naona sio busara saana, unaweza ukaikosa Banat hivi hivi.....
humu pm hazikwepeki mtu akishajua jinsia hako ni mwanamkeGeny hebuniambie mimi simwambii mtu. Pm kwako zinakuja kweli au unazuga tu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]