Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

japo mimi ni miongoni mwa watajwa hapo juu ila wala sihofii kudabwa ni UPUUZI niliougundua humu tu ndo umenifunza.... ningekuwa KICHECHE basi ningekuwa na msururu wa NEW ID everyday.
umeonaa eehhh!!uko sawa kabisa!
 
Unadhani kuna asiependa fursa basi?

Zinapendwa sana tu. Ila ndohivo wengine ustarabu wao unasoma 0....

We fikiria jianaume zima linasambaza vitu visivyo na mashiko na kuzusha uongo,zinamtosha kweli huyo?
Hazimtoshi huyo aisee
 
sure yaani!
shunie mwanzo nilikua naogopa Ila sasa hivi nna marafiki wengi tu!

jf ni nzuri sana km utaitumia kwa akili pia!!

Ila km utaitumia vbaya ni mbaya!hapa ni km msitu!tembea kwa uangalifu!
Yap. Jf haina haja ya kublok pm sana unatakiwa kuwa na akili ya namna ya kutumia.

Kwa wanawake kusumbuliwa hakuepukiki ila ni akili ya maanamke kukubali kusumbuliwa.

Ila usimaamwin mtu yoyote jf.
 
Yap. Jf haina haja ya kublok pm sana unatakiwa kuwa na akili ya namna ya kutumia.

Kwa wanawake kusumbuliwa hakuepukiki ila ni akili ya maanamke kukubali kusumbuliwa.

Ila usimaamwin mtu yoyote jf.
Kweli kabisa don't trust anyone here!!

Hapa stori tuu!!
Ila wapo wema pia!
 
Yap. Jf haina haja ya kublok pm sana unatakiwa kuwa na akili ya namna ya kutumia.

Kwa wanawake kusumbuliwa hakuepukiki ila ni akili ya maanamke kukubali kusumbuliwa.

Ila usimaamwin mtu yoyote jf.
kabisa hutakiwi kumwamini mtu umu
 
Ndio maaana kublok pm naona sio busara saana, unaweza ukaikosa Banat hivi hivi.....
bahati ipi sumbai mm mtu kaja kanisalimia hi nikamjibu akaniambia naomba no yako sijamjibu akatuma tena mm nakutaka naomba no yako nataka tukutane nikamjibu jibu moja tu sijui kama atalud
 
Back
Top Bottom