Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

We jamaa bora hii thread usingeileta, ona sasa kila aliyeiona anaenda kufunga.
 
Wewe mtoa mada umetuletea balaa.....angalia sasa kila mmoja anataka kufunga PM!!!!
najuta kwanini nimeleta huu uzi madada wote wamenikimbia hata kuniPM hawataki
 
Wewe mtoa mada umetuletea balaa.....angalia sasa kila mmoja anataka kufunga PM!!!!
najuta kwanini nimeleta huu uzi madada wote wamenikimbia hata kuniPM hawataki
 
Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni mnaonyesha udhaifu kwa kulock PM
We kajipu uchungu yaani umejaribu wote ukakuta wako locked una bidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…