Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Hahahah wameona ni bora wamkimbie mpiga sound kuliko kuzikataa soundzake,huwezo huo ni mdogo kwao! watu mna PHD zakutongozea daaa!
 
hayo mambo mnayofuaya Pm myaweke hapa!
wazi kila mtu ajue
 
Back
Top Bottom