wanakuja kufanya nn!!tuition waende kwa hidden au mchikichini!!!Kuna wattor Wa secondary humu,
Sana tu!Sawa, lakini inahitaji umakini. Mimi nikifanya PM na mtu huyo tayari nimeshajilidhisha kuwa yuko makini.
Kuna watu chenga sana aiseKumbe huko behind the jf kubaya hivi..... Dah
Haaaaaa kweli bhana[emoji13] [emoji13] [emoji13] unazugaa eehh!
Bratan!!Kuna watu chenga sana aise
Nataman wangekuwa wanawekwa wazi....nawao...!Kuna watu chenga sana aise
[emoji86] [emoji86] [emoji86] kwa iyo eve nami ushanipa ngomaHa ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Mods wanadeal hadi na huku whatsapp?Kwa nini huku-mreport kwa mods? Maana ni kosa kuonyesha conversations ulizofanya na mtu kwenye PM.
Privet bratan..Kak delaBratan!!
Haaaaaa nipo kwa Gen nw sitaki michepukoOkay ushafanya mchakato mwingine sasa wa kuvuta li nyangumi jingine?
Huwezi amini nlikaa kimya kama lowasa 😀Navuta picha mitusi uliyomtukana huyo jamaa..Nadhani alijuta
Mkubwa kiasi tu shunie wanguKumbe nawe mkubwa nilijua kidagaa kwahyo nyangumi
Alikuwa dume yule..Alikuwa anazingua tu..Alikuja kukiri baadae baada ya maintel kumtaitishaNataman wangekuwa wanawekwa wazi....nawao...!
Unamkumbuka yule binti alitishiaga kuweka wote waliom pm.....
Sijui yuko wapi dah...
Ha Ha Ha nipo full nna koba la umbeashame on him!!!
ukute ana watoto kabisa!!
nyau kweli huyoo!!
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!zangu huna evaa!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] skrin shot
sawa BabaMkubwa kiasi tu shunie wangu
Aah sometimes inabidi uchukulie tu vitu poaMimi siwezi kuchukulia poa mtu aliyenidhalilisha. I still hold grudges aisee, yani mtu amesoma na ameelimika kabisa anatoa mambo tuliyochat private..nah! Bahati mbaya huwa watu hawaonani, ningemlamba konzi hatari!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we niletee tu tafadhwali!!Ha Ha Ha nipo full nna koba la umbea
Teh teh...Hallelujah!!!..Ubarikiwe mpendwaHuwezi amini nlikaa kimya kama lowasa 😀
Na zangu hauna eveHa Ha Ha nipo full nna koba la umbea
Nawe ni papa au Satosawa Baba