Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
[emoji86] [emoji86] [emoji86] kwa iyo eve nami ushanipa ngoma
 
Back
Top Bottom