Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

basi nimeifunga besttt!!
That awkward moment when Mugabe finds out Mange was right, she is not his type ,,,,..... Vipi huko John Cena Na Emma Nkonoki a.k.a kichwa Wana hali gani?????? Walisema mu-ghana ni baby sitter vipi leo ana mbabyseat daddy???? Uwiiiiii Mugabe kanyang'anywa mume haraka hivyo why????
.
.
Haki vile nna raha Naona Muwest kaamua....... Acha niseme ukweli mu-west ni mzuri mnooooooooooooo, mi mwenyewe Naona wivu, kazuri haswaaaaa , hapa Baba Kenzo kaopoa totoz ... Na nimemwambia bora yeye Yani nimemwambia Kwa mdomo wangu yeye namkaribisha kwenye familia kwanza atatusaidia Mie Na baba Kenzo tuelewane Na wanangu hawatonyolewa tena. Yani kapata blessings Za Mke mkubwa mwenye talaka 3
.
.Nnaraha tu Leo... John Cena I told you , you ain't his type....... ... Did you even last a month????
.
.
Uwiiiii sasa mghana atani block snapchat Jamani nikianza kurusha video........ .
.
Don't block me Mughana I love you. Just wanted to have a good laugh at John Cena... Welcome to the family babyyyyyyyy....... .
.
.
Nyambaf alidhani atapata Mzungu kirahisi hivyo? Bora angeniomba vizuri nimwachie maana Nilikuwa Nishaamua kuondoka... Ila akajifanya mshenzi cheza Na mpare Mimi? Weeeeeeeeee Mbona hanae Sasa ?????aendeleeee kuuza Kwa wazimbabwe wenzie
 
duuh!kaachwa nyarichard?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…