Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Kuna bi dada siku hizi simuoni alikopeshwa elf 30 hadi msg ya mpesa iliscreenshotiwa ha ha ha ha ha jamani nacheka kama mazuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeh!watu wabayaaa!!
umenifunza kitu mpenzi!!

kikubwa sana tu!
 
Back
Top Bottom