Shilingi mbovu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 542
- 201
Wa Dar... Wengine tuna swaga adi zilizochanganywa na ndizi mamiiMnakera na viswaga uchwara na usumbufu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Dar... Wengine tuna swaga adi zilizochanganywa na ndizi mamiiMnakera na viswaga uchwara na usumbufu....
Acha roho mbaya vale. Muache mwenzako ale vinono.Usikubali mtongozo wa Ngabu mwaya
Nyie wa dar ndo hapana kabisaWa Dar... Wengine tuna swaga adi zilizochanganywa na ndizi mamii
Hahahaaha sio wote wa Dar...Nyie wa dar ndo hapana kabisa
Khaaa ning'ate sikio basi. Hapa nimekosa amani kabisa, hivi mito hajascreenshot kweli zile message tulizomuomba hela, nimekomaaaNilikuja kugundua kwanini wanasema hivyo, alafu nikawadharau.
Shunie nifungulie mimi mlango wa pm, nina habari matata kwako.Hahahhh Eli aliniita mm et shunie wa Ngabu alivyocomment kuniambia amekuja PM nikamwambia Ngabu wa Valentina akasema Ngoja Valentina aseme mwenywe
Kuko wazi ingia tuShunie nifungulie mimi mlango wa pm, nina habari matata kwako.
Unazo nne upande wa kulia shingoniNimefanya nini yena mie Valle?
Kuna mtu kakuletea uzushi?
Halafu mi nna chale ngapi vile?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha haa sio vinono vyote vyaliwaAcha roho mbaya vale. Muache mwenzako ale vinono.
Wazee hawasuti na matarumbeta, ni filimbi tu na viboko mkononi kama sungusunguHahahaaaa!! Tena na matarumbeta.
Viboko tena!!Wazee hawasuti na matarumbeta, ni filimbi tu na viboko mkononi
Nichape tu. Ila tutakuwa tumetangazwaje he he heHahahaaaaa!! Takuchapaaaa!
Mzee wa fursa.Naomba nije PM kukusalimia.
Hahahaaaaaa!!! Amka na BBCNichape tu. Ila tutakuwa tumetangazwaje he he he
Hilo hilo ha ha ha eti revealed list of mentors victims, jinga kweli..... Utadhani lilikuja kushika miguuNdo lile lililokupakazia kipindi kile Mentor kaja na ile hadithi yake ya VVU?
Si bora viboko, wakikufrank je? Ile mibao ya yule ticha hahaViboko tena!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha tu, hela ni bonus kumbe tuna mikopo, aah I hope Bro hajajutangaza tuHahahaaaaaa!!! Amka na BBC