Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Hahahaha hahaha sijui wenye bamia walimkosea Nini Muumba. Anyway muwafundishe zile style nyepes.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani loohh!!
 
wewe si umesema apo una bahati mbaya kalibia three times unakutana na wabaya tu umu hapana kwakweli
Hahaaa bahati mbaya haiwez kuwa kila cku" sasa shunie kwa avatar yko hyo kama mwanaume wa kwel lazma atokwe udenda alaf uniambie ww sio chombo..mtatuua jamn na hiz avatar zenu.
 
Back
Top Bottom