Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Geny hebuniambie mimi simwambii mtu. Pm kwako zinakuja kweli au unazuga tu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sijawahi pata PM hata kwa bahati mbaya!!
Ndo maana nimeweka lips labda watakuja kuja loohh!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukiona PM za wambea wenzangu tu!!

Dinazarde,shunie,warumi,nifah,heaven sent(my sweet pie) na wambea wengine!
 
bahati ipi sumbai mm mtu kaja kanisalimia hi nikamjibu akaniambia naomba no yako sijamjibu akatuma tena mm nakutaka naomba no yako nataka tukutane nikamjibu jibu moja tu sijui kama atalud
Hahahaha Huyo kweli upo sahihi.

Usiblok pm bwana Siku moja moja tunakusabahi....
 
Sijawahi pata PM hata kwa bahati mbaya!!
Ndo maana nimeweka lips labda watakuja kuja loohh!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukiona PM za wambea wenzangu tu!!

Dinazarde,shunie,warumi,nifah,heaven sent(my sweet pie) na wambea wengine!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sijawahi pata PM hata kwa bahati mbaya!!
Ndo maana nimeweka lips labda watakuja kuja loohh!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukiona PM za wambea wenzangu tu!!

Dinazarde,shunie,warumi,nifah,heaven sent(my sweet pie) na wambea wengine!
Nilijua tu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sasa unajidai kufunga pm ya nini[emoji23]
 
Sijawahi pata PM hata kwa bahati mbaya!!
Ndo maana nimeweka lips labda watakuja kuja loohh!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukiona PM za wambea wenzangu tu!!

Dinazarde,shunie,warumi,nifah,heaven sent(my sweet pie) na wambea wengine!
Hahahahaha
Geny kudanganya umeanza lin???

Ukiona kimya ulitakiwa uje pm kwetu hahahahaha
 
Sema haki ya mungu.
 
Hahahahaha
Geny kudanganya umeanza lin???

Ukiona kimya ulitakiwa uje pm kwetu hahahahaha
haaa..!!sasa kwa nini nikudanganyee....?!!

serious tena!

naogopa kuwafata mtaniskrini shot...

mna maana nyie?!!
 
Back
Top Bottom