Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Akifungua tu nishtue[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Kuna hela zake alinikopesha nataka nimrudishie.
Uyo zake lazma zije nachatigi nae sasa ww ambae hatujawai chat imekula kwako [emoji28]
 
Hahahahaha sasa nawewe wakitaka kukukopa hutaki....

Usikwepe mishale sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna wangu!

Mie tu Pm sipati na sijawahi pata PM hata kwa bahati mbaya!

So nimeifunga maana haina faida!
 
Back
Top Bottom