Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Hapo chacha... Labda tatizo hili jina langu ni refu sana, linachukua nafasi kubwa sana katika ujumbe! Itabidi nilibadilishe nijiite Idd! Husninyo![emoji3]
 
Im done. Siku ingine msaidie kwa kumwambia hu-entertain mambo hayo badala ya kumuacha akujazie screenshot then unasubiri thread kama hii kuja kumsema.

Utakuta kabla kibao hakijamgeuka na yeye alikuwa anashiriki vyema sana kuchat maujinga ujinga hayo.
 
kunusa nini au nn maana yake
Kunusa kujua mwanamme hapa mwenye pesa
Njoo chemba nikufundishe jinsi ya kuwajua
Utanilipa muamala baadae hela ikiianza kuingia
Madada kibao hapa mewasaidia
 
Back
Top Bottom