Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Kunusa kujua mwanamme hapa mwenye pesa
Njoo chemba nikufundishe jinsi ya kuwajua
Utanilipa muamala baadae hela ikiianza kuingia
Madada kibao hapa mewasaidia
hahahhh mm sitaki mwenye hela anajulikana na asiye na hela anajulikana [emoji16]
 
wanawakai wakitanzani jaman achh tu wafungai inbobo zao maana wakwarai wakikwaitu mnawap wakati mgumu saana huko inaboks
 
aisee kwahyo wewe ni mganga? mm sitaki kwakweli
Yaa mm ni mganga mwitu
Wenzako wengi hapa wanakuja kwangu
Ndiyo maana akitoa thread yake watu kibao wanachangia na kumcheki chemba na mahela
Wanao ng'aa hapa hawa wenzako unafikiri bure?
Ni PM
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaa mm ni mganga mwitu
Wenzako wengi hapa wanakuja kwangu
Ndiyo maana akitoa thread yake watu kibao wanachangia na kumcheki chemba na mahela
Wanao ng'aa hapa hawa wenzako unafikiri bure?
Ni PM
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji777]
 
Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni mnaonyesha udhaifu kwa kulock PM

Nifundishe namna ya ku lock pm
 
Mleta uzi fungua uzi mwingine kichwa cha khabari kiwe "walio athirika na huu uzi wako wa kufunga pm kina dada "utaona namna gani uzi wako umewaweka watu pabaya tena wengine wenye nia njema tu.
 
Back
Top Bottom