Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Hahahahaaaaa Erotica bhana....tena amenipa probation isiyo na muda wa kuisha so napata shida sana
Sijui nifunguke tu..lol
Ngoja niwe na subira kwanza
Eric ina maana ww sio mjanja wa kumingle? unapungua mvuto kwangu..
mwanaume lazima ujuwe kumhandle mkeo na mahawara bila kugonganisha papito.
ukiwa mzembe wa hivo utatukosanisha kila siku. mie hapa nahama, ngoja nijibanze tu kwa tajiri la kihaya.