wanawake wa jf kuanzia leo msinijue

Hahahahaaaaa Erotica bhana....tena amenipa probation isiyo na muda wa kuisha so napata shida sana
Sijui nifunguke tu..lol
Ngoja niwe na subira kwanza


Eric ina maana ww sio mjanja wa kumingle? unapungua mvuto kwangu..

mwanaume lazima ujuwe kumhandle mkeo na mahawara bila kugonganisha papito.

ukiwa mzembe wa hivo utatukosanisha kila siku. mie hapa nahama, ngoja nijibanze tu kwa tajiri la kihaya.
 
Eric ina maana ww sio mjanja wa kumingle? unapungua mvuto kwangu..

mwanaume lazima ujuwe kumhandle mkeo na mahawara bila kugonganisha papito.

ukiwa mzembe wa hivo utatukosanisha kila siku. mie hapa nahama, ngoja nijibanze tu kwa tajiri la kihaya.
Hahahahaaaa dawa ya kutokamatika ni hii kujifanya malaika
 
Kaka pole sana. Ulivamia bahari pasi na kujihadhari, kuna papa na nyangumi. Ungemuagiza mzazi akupostie binti swaafi kutoka kanyigo, mpaka wamjanjarue umri umeshasogea.

Najuta kweli najuta,ukizingatia walivyokula hela zangu,fikiria zinduna juzi aliteguka kiuno nikampeleka sauzi.
 
Kafulia mbaya hadi kashindwa kuwahudumia hao wake zake anajifanya kuwamwaga jumbe hali mbaya...labda akupe shamba la migomba

Bishanga tajiri wewe,nifilisike kwa kununua vi vitz vya dola alfu?
 
Bishanga mi wa Ntuzu i luv u much mmmmmmmwwwwwwwwaaaaaaaaaa..........
 
Last edited by a moderator:
Ahahaaaaaa! le BISHANGA LE BASHAIJA FATAKI LA TANDALE Mbona unaleta mambo ya hausimami hausimiki hapa kalagabao umefulia wewe hautudai hatukudai kazi yako copy and paste nenda kaazime guta kwa ERICK52 ukambebe huyo m-asia wako

Mbona unamjua?
Check your avatar.....lol!
 
Nyie ndo nilikuwa nawasubiria ili mpambano ukamilike! LOL

The Secretary wala sina ugomvi naye,mtoto mpole huyu ana adabu na heshima.Tatizo ni yale mashankunpe.
 
Tena mwambie aje achukue bure kabisa sasa hivi....
Halafu The secretary unateseka na haka kajamaa?

Utasutwa erick,we subiri,mpaka Amy atakutosa,wenzio kina bishanga tuna ngozi ya nyegere,wamjua we nyegere?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…