wanawake wa jf kuanzia leo msinijue

hivi huyu mhaya anafanya biashara gani haswa Erickb52??? isijekuwa anauza sembe akawapeleka watu darini bila sababu! lol!

Wataka kunjua? Embu gugo 'bishanga abashaije ayanyampile olwazi lukatika'.
 
Last edited by a moderator:
hata mm ambae ulifanya bure na hujawahi nipa kitu? :A S 13:

Sasa jamani erotica,five fantastic orgasisms in a span of one hour,bado tu na rav fo nikupe?
 
Utasutwa erick,we subiri,mpaka Amy atakutosa,wenzio kina bishanga tuna ngozi ya nyegere,wamjua we nyegere?
Hahahaaaa wa kusutwa ni wewe tu aisee na baada ya wewe ni Asprin
Mi na Kaizer hatuna migogoro wa chuchuz yan ni raha tu
 
Last edited by a moderator:
..akapate ushauri nasaha...maana anaweza kujitundika mjue...na yote hayo kasababisha. Zinduna

Nini Zinduna , bishanga nshamtetemesha mpaka miss world! Bishanga mtu wa kimataifa.
 
Last edited by a moderator:
He he he he, pole weee
Kutesa kwa zamu, ulinimimina kwa kunisasambua
Wamekutenda hao mamodo uliowakimbilia
Ukasema nimezeeka sijui hata kula kwa uma na kisu.

Pole zako, naijia picha yangu
Konnie,mi na wewe tena?
Pliz hani!
 
Hahahahaaaaa Erotica bhana....tena amenipa probation isiyo na muda wa kuisha so napata shida sana
Sijui nifunguke tu..lol
Ngoja niwe na subira kwanza

Acha ushingo feni wewe!
 
Last edited by a moderator:
Karibu darling,hutakaa ujutie uamuzi wako,weekend wapi twende ukapate raha,chagua sehemu ya karibu mombasa? Nairobi? Serengeti? Zanzibar? Ruaha? Baby nijibu haraka niwahi booking coastal air,achana na malofa hawa kina erick watakulostisha tu.
 
Hahahaaaa wa kusutwa ni wewe tu aisee na baada ya wewe ni Asprin
Mi na Kaizer hatuna migogoro wa chuchuz yan ni raha tu

Unacheza wewe,hii post ngoja nim fowadie asprin ndo uone cha moto leo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…