Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Jun 22, 2012 #121 Zinduna said: Asprin hao wote uliowataja, watakugeuka, mtu mwenyewe mchovu hivo, Haluuuuuu! Subiri msuto wako siku zijazo, "You are next!" Click to expand... Na wewe Erickb52, nishakuona na ushakunaku wako, ngoma si yako waipigia chapuo! Hivi nikuulize Bwana wewe, ni nani aliyekupa Umanju? Click to expand... Zinduna naomba kwa hisani yangu next awe Erickb52 amezidi sana kuparamia ya watu........ Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zinduna said: Asprin hao wote uliowataja, watakugeuka, mtu mwenyewe mchovu hivo, Haluuuuuu! Subiri msuto wako siku zijazo, "You are next!" Click to expand... Na wewe Erickb52, nishakuona na ushakunaku wako, ngoma si yako waipigia chapuo! Hivi nikuulize Bwana wewe, ni nani aliyekupa Umanju? Click to expand... Zinduna naomba kwa hisani yangu next awe Erickb52 amezidi sana kuparamia ya watu........
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,919 Sep 6, 2018 #122 Ha ha ha