Wanawake wa JF, kwanini mnatumia avatar za porn star? Naomba sababu

Naona ume bold kuonyesha msisitizo, inaonekana Allepo ni threat humu ndani
nimeona watu wana mhanya sana wala hana lolote, anajaribu kupay attention ya wengi kwa kutaja majina fake duuuh

ila am happy with him and that is how we can judge people. ukipanic wanakujua weakness yako.

i was just happy tena nilicheka sana cause haikunigusa hata kidogo. My hubby ni mtu mwelewa na anaielewa kabisa so sina hofu mie.
 

Wewe jje's ile avatar yako ya mdada mmoja amevaa gauni la bluu uliitoa watu.

bana mnanihanya kumbe, kumbe nimekuwa zaidi ya sizonje. hiiiiiihhhh
na ngoja ifike tarehe 15 mwezi huu
 

Eti ananiamuru nimtoe jje's kwenye list mfyyyuuuuu .

kwanza tunatumia id fake huku. kama mnajuana sawa hayo yenu STUNTER usinitishe laptop yangu akili zangu si zetu.

watu wengine bwana mapenzi yao fake waturingishie kama vyeti vya bashite chini ya mwavuli wa id fake plus avatar fake.

mapenzi yenu STUNTER na jje's sihitaji kujua hayo mahaba yenu hayanihusu. mxiuuuuu
 
Hahahaaaa...
Hao wapenzi wapi mafala tu hao...
STUNTER
jje's
Tena kama huyo mshikaji ana mambo ya kitoto kishenz... Chek tu nyuzi zake..
Eti bby.. Bby bongo!!!!
Mapenzi sio matangazo, mapenzi ni maisha nyie sura mamba...

Nilikuwa natafuta sapoti asante kuni back up.

STUNTER wakati anaingia huku, hakukuwa na beib beib nyingi mara ohhhh lov jje's. sasa kinachnishangaza wanashoboka sana eti tunawafuata fuata utafikiri wamejinyea alafu sisi tumekui inzi. mfyuuu zao.

member wa humu wanatumia id fekero alafu wanajiona wazuri wakati wanatembea na uharo tumboni. ukimquote basi anajiona keshakuwa harmorapa kumbe ata humjui maskini lakini michambo yao bana kama wana kipindupindu kisa kuanzisha nyuzi na kupata comment mpka page 30 basi ndo keshakuwa superstar

superstar(in tangazo la dse itv voice yule anayeongea lafudhi ya kichagga) wapeleke beib beib chumbani na wasijifanye kina marchui
 
Kwani unapata madhara gani:
sema tu unatuonea wivu.
 
Kwani unapata madhara gani:
sema tu unatuonea wivu.

Ajuza

hadi na wewe tukuonee wivu. khaaa nikikuonea wivu ntajishangaa sana.

kwanza utamu wote kwishney imebakia ladha ya sungwi imefanania na flagily kwa mbaaali.

samahani bibi unajua sio vizuri huku kwetu hatukufundishwa hivyo kuwasema wa bibi hasa hawa wa kiwango cha standard gauge
 
C'mmon brethren yaani mmeshindwa kujua ujumbe wa mtoa mada.

Haha.. nyie sio watoto wa mtaa. Someni tena then mtajua lengo la mleta thread.
Chikamoo kaka mkubwa.!!
Nimeshamuelewa huyu kiumbe
 
Aisee
 
Kama tuhuma zako ni za kweli nadhani hawajafanya makusudi mkuu!!! Labda walikutana na picha ya mdada bila kufahamu imetokea wapi.
Ila mkuu utakua umekubuhu kwenye porn!!! Mpaka kukariri picha!!!
angekutaja ningeandamana
 
I wish I were ya hubby. [emoji85]
 
Akili za ugwadu wa kupigwa ban
 
Mara nyingi HAO NI wale hustler wanalala chumba kimoja CHENYE kitanda kimoja 8 ukiwakuta na maneno humu utakoma kumbe hakuna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…