jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
Nimecheka sana jmn kuona jina langu na pia kusema ukweli amenionea. Mungu anakuona mtoa mada ila umenichekesha sana. Duuuh nakumbuka avanter zangu zote mhhhhhSema dah kuna watu hapo nahisi umewaonea saana.
Mungu akurehemu bure.