Wanawake wa JF, kwanini mnatumia avatar za porn star? Naomba sababu

Sijawahi kupigwa ban, naomba msaada wadau.

Tarehe 24 Nililetaga mada flani nilikutana nayo narumu, moshi sasa wakaanzza kuniita mi mchawi.

siku hiyo nilifuka volkano kilichofuata nikala ban nikapewa na msala ilikuwa ni matusi. siku ya kutoka kifungoni ndo ikawa tarehe 1/5/2017.

kama na wewe unataka kula ban tukana weeeee nakuambia tukana utashangaa unaambiwa BANNED mpaka mwaka kesho ndo utafunguliwa.

shida yake huwezi kuona kinachoendelea humu
 
Na ndicho kitakachofuata tena kwako muda c mrefu
 
Ahsanteni kwa ushauri wadau basi ngoja nimtafute wa kumtukana
 
Back
Top Bottom