Wanawake wa JF, kwanini mnatumia avatar za porn star? Naomba sababu

Wanawake wa JF, kwanini mnatumia avatar za porn star? Naomba sababu

Habari za siku yetu wafanyakazi

Wiki iliyopita nilikuwa kwenye ban, maisha ya ban magumu sana. Ukiingia tu unakutana na kosa lako alafu unapewa siku ya kufunguliwa.

Sasa kipindi nikiwa ban nilijikuta naingia kwenye porn site nilichokutana nacho bana kumbe hawa wanawake wetu wa huku wanazidownload kwenye zile site alafu wanazigeuza ndo avatar zao.

Shame on wote. Nimewazarau! Yaani mmama mzima unaweka porn star avatar.

Nitaanza na wachache Valentina, espy alikuwa ameweka akaitoa, Miss Natafuta Everline salt anaitumia mpaka sasa, byongo ameizoom akascale kwenye mdomo, sky eclet FaizaFoxy hii avatar yake nayo niliikuta kule maeneo jje's huyu alikuwa ameiweka sema akaitoa @mahondow huyu anatumia ya kwake. wengine bora wameziondoa nimewaacha

Embu mzitoe bana hao pornstar wenu muweke vingine ata katuni basi.

Naomba msinimind bana hapa tunarekebishana

Jioni njema
Sky eclet sawa... Nilifikiri umemtaja Sky Eclat ... walahi ningekubadilisha jinsia then kinyeo ningekihamishia kisogoni na kikojoleo ningekiweka usoni.
 
Back
Top Bottom