Hujamuelewa, sijui hata nikufafanulie vipi. Yaani unaweza kumuona mwanaume jinsi anavyoiteract ukamuona ni mstaarabu utakavyojaribu kumpm unakuta kafunga.
Sent using Jamii Forums mobile app
NadhaniHahaha sijui kwa nini jamani, itakuwa wameona midume inawafungulia I'd za kike kwenda kuwajaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini unaweza kugegedwa weweMambo Khantwe naomba nikugegede...
Unataka kuoa au kuolewa?
Huyo atakua anajaribu swaga za vijana hadi anajikuta kapitiliza, anakosa kiasi.Hata Mimi huwa najiuliza umri wao.
Ila Cha ajabu atajwambia Yuko around 27-35.
Sasa hayo mashudu sijui anayatoa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi mkuu.
We haya tu
Hivi hizi bahati mbona wengine hazitupati[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]najuta kukuchokoza, umemwaga mchele kweupee[emoji23]
Unakumbuka uzi uliotuunganisha?
(Jamaa aliyeokota 400k atm?)
Sent using Jamii Forums mobile app
Oyaa bro tuheshimianeNataka kuoa, kwa comment yako hiyo hata kama wewe ni mwanaume naweza nikakuoa vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana, hakuna kupepesa macho unaeleza shida yakoMambo Khantwe naomba nikugegede...
Duh!Unataka kuoa au kuolewa?
Nataka kuoa, kwa comment yako hiyo hata kama wewe ni mwanaume naweza nikakuoa vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maisha bana, unamsifia mtu ushamla pesa na hajaona ndani [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ulikuja kiuanaume hasa si kitoto. Advertise ukaomba namba ukanirushia muamala mengine yakaendelea. Hakuna nambie nambie...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajibiwa you cannot start conversation with recipient (wanataja I'd)Aiseee nachelea kukuamini, kwa hiyo PM ikifungwa unapotuma sms hazifiki au inakuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninong'oneze pleaseAmini nakuambia, wanaume wengi wanaonivutia mimi wamefunga PM labda ni mkosi wangu tu, sema yule mmoja sijajaribu bado[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo anzia na "hellow cute" wanalipenda sana
Mpendwa mimi sio binti ni bibi.Duh!
Aiseee wewe bint ni mbabe kinoma yaani