Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Ni utoto sana, kuna wale wa "x" badala ya "s" nachafukwa nikiona sms ya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata Mimi huwa nakwazika.
Halafu unamuelekeza mtu kwa upole,hapohapo unamaliza tu kumwambia anakujibu "pow" au "p"
Yaani ukishaniandikia hivyo,hata ungekuwa na mambo gani ya maana ya kuniambia sikujibu Tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Rafiki nikijua njia ya kufika huko PM nitakuja kusubiria zile raba[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msg zao

Hi cute

Hello Mamito

Hi Cham


Hello usingiz wangu

Yaan msg zako ukicomment unaonekana una ulimi mtamu

Nk. Ukiwaandikia maneno matamu matamu wanajiona wako sijui sayar gani

Sasa mm na wew hatujawah kuonana kwann nianze kukupa sifa zisizo????


kilicho akilini kitumie
Hapo tutumie njia gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanao sema hivyo, hawajui matumizi ya tamko hilo. Kiasili binti hupenda urembo na hio ndio sifa anuai kwayo inawatofautisha na sisi, sasa mtu unapo mpa sifa yake stahiki, anakuwa ana matatizo. Kuna mambo ya kawaida, yaani ada na desturi na jamii huwa inahukumu mambo.
Elimu unayoitoa ni nzuri, sema humu ndani kuna midundo inabidi uendano nayo la sivyo utavuna mabua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom