Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wamesema hawataki kuitwa mrembo mkuu, wanauliza unaiita mrembo kwani umeniona wapi? Ha ha so usiwaite mrembo we waite "mkuu/wakuu" kuna stage mkifika ndo muanze kuitana sugar, sjui asali, mara my heart pampa" ha ha noma sana boss
Ahsante.

Mzima lakini ?

Nakusabahi mrembo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesema hawataki kuitwa mrembo mkuu, wanauliza unaiita mrembo kwani umeniona wapi? Ha ha so usiwaite mrembo we waite "mkuu/wakuu" kuna stage mkifika ndo muanze kuitana sugar, sjui asali, mara my heart pampa" ha ha noma sana boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanao sema hivyo, hawajui matumizi ya tamko hilo. Kiasili binti hupenda urembo na hio ndio sifa anuai kwayo inawatofautisha na sisi, sasa mtu unapo mpa sifa yake stahiki, anakuwa ana matatizo. Kuna mambo ya kawaida, yaani ada na desturi na jamii huwa inahukumu mambo.
 
Ndugu yangu secretary POMPEO nina wasi wasi na msg zako huko PM mpk unachuniwa.

Yawezekana unaandika "Mamb","Mmb" badala ya Mambo

Yawezekana unaforce vitu kama kuandika "Mambo mpenzi","Mambo Mrembo",nk wanawake

wanaojielewa ukimuita Mpenzi,Mrembo,mchumba From nowhere hakujui,humjui asee akikujibu

katambike au katoe sadaka ya shukuran,lazima kuna jinsi unakosea ktk hizo salamu zako.
Naandika kwa utiifu sana na kuzingatia uandishi lakini wanajivuta kujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una ujasiri sana watu humu wanatumia fake id utamtongoza mwanaume,ndugu au boss wako.

Humu ni sawa na msitu wa Arizona ukijifanya kuwinda swala utaishia kuliwa na wanyama wakubwa makatili kupita.
Nyuki hufuata maua,ila maua hayafati nyuki.
 
Back
Top Bottom