Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Nyie wadada kwa miongo kadhaa inafahamika kua sie men ndo hua tunawatongoza. Tamaduni za mahali kwingine zinaruhusu mdada kumfungukia mwanaume, ila kibongo bongo wachache wanafanya hivyo.

Hii ya kufunguka sikua nimeifikiria nilidhani unaenda PM kupiga story mbili tatu ili mwanaume ajiongeze mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina experience maana wote ambao najaribu kuwafuata huwa nakuta wamefunga[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni utoto sana, kuna wale wa "x" badala ya "s" nachafukwa nikiona sms ya hivyo.
Hiyo mamb jamani jamani kuna mtu nimeacha kujibu messages zake.
Inakera Sana mtu anaandika vifupi Hadi unaumwa kichwa kusoma Hadi kumuelewa.

Nikamwambia Naomba unapoandika message andika kwa kirefu tu,huwa sipendelei hivi vifupi lakini hasikii.
Nimeona nikae kimya..siku akiandika vizuri nitamjibu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom