Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Itakuwa nina mambo ya kizamani labda.Hehehehhe
Mbona Ngumu Sana hiyo
Watu wanataka chatting (Unajua chatting) sio kuandikiana ma-barua [emoji1787]
sjajua unatumia JF web au JF app,,kama unatumia app asee mtu anaweza kukuPM leo afu msg ikakufikia kesho kutwa(in case ndo mara ya kwanza kuPM na huyo member). kwa hyo unakuta hata yule alokuPM hajaona msg yako uliyo reply na sio kwamba kakaa kmya No.Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtazamo wako, huwa naudhika sana mtu anakutumia message unamjibu kistaarabu then anapotea, inaonyesha wazi anakuwa ameamua kukuchezea tu. Fikiria vyovyote upendavyo ila mimi ndio nimeamua hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hata imekuwaje nikafurahi.
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Sio kweli, labda hiyo scenario ya pili. Notification wengi hatupati ila mimi wakati huo nakuwa nimeona PM yako licha ya kwamba sipati notification, kwa nini wewe usione yangu?sjajua unatumia JF web au JF app,,kama unatumia app asee mtu anaweza kukuPM leo afu msg ikakufikia kesho kutwa(in case ndo mara ya kwanza kuPM na huyo member). kwa hyo unakuta hata yule alokuPM hajaona msg yako uliyo reply na sio kwamba kakaa kmya No.
sasa tena kuna ishu ya JF app kutokuonesha notification asee inaboooohaaaaa[emoji53][emoji53][emoji54][emoji52][emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]jamaniii yaani Mpk Leo ?Sitaki kuamini
Angalia, mtu akikutext kwa mara ya kwanza.. mfano "mambo, pole kwa hofu ya corona.....nilikuwa natamani tuwe marafiki" inapendeza sana. Unakuwa unajua lengo lake moja kwa moja, kuliko kuniacha kwenye sintofahamu kwamba kwanini huyu kani-text.Umenikata maini sana, yaani unaongelea habari za 1990's daaahh basi bwana
Kama hujafik 33 pls nijulishe
Hata zamani haikua hivyoItakuwa nina mambo ya kizamani labda.
Hayo unayajua wewe[emoji38][emoji38][emoji38]jamaniii yaani Mpk Leo ?Sitaki kuamini
Kwanzaa Wewe ndio matawi yangu niliekuona
Salamu kama za OP? Kutext wengi kubahatisha atakayekujibu?.Hata zamani haikua hivyo
Salamu ndio Starter usiwe Strictly
badirika[emoji13][emoji13]
Hata siwalaumu kutokukujibu.
Salamu kama za OP? Kutext wengi kubahatisha atakayekujibu?.
Ni vizuri ukanyooka tuu kwenye lengo la kunipm. Kama ni urafiki nijue baada ya hapo tutaendelea kutumiana hizo "Mambo".
Angalia, mtu akikutext kwa mara ya kwanza.. mfano "mambo, pole kwa hofu ya corona.....nilikuwa natamani tuwe marafiki" inapendeza sana. Unakuwa unajua lengo lake moja kwa moja, kuliko kuniacha kwenye sintofahamu kwamba kwanini huyu kani-text.
Sawa Noel
Urafiki ukiwa na story nzuri haukatishwi.Tunaona ngumu sababu mtu mwenyewe alishapost thread akianzisha urafiki for no reasons anaukatisha tu/hajisikii tena
Inauma
Nakuja PMHii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.