Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye

Sent using Jamii Forums mobile app
sjajua unatumia JF web au JF app,,kama unatumia app asee mtu anaweza kukuPM leo afu msg ikakufikia kesho kutwa(in case ndo mara ya kwanza kuPM na huyo member). kwa hyo unakuta hata yule alokuPM hajaona msg yako uliyo reply na sio kwamba kakaa kmya No.

sasa tena kuna ishu ya JF app kutokuonesha notification asee inaboooohaaaaa[emoji53][emoji53][emoji54][emoji52][emoji52]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.

Umenikata maini sana, yaani unaongelea habari za 1990's daaahh basi bwana

Kama hujafik 33 pls nijulishe
 
Sio kweli, labda hiyo scenario ya pili. Notification wengi hatupati ila mimi wakati huo nakuwa nimeona PM yako licha ya kwamba sipati notification, kwa nini wewe usione yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikata maini sana, yaani unaongelea habari za 1990's daaahh basi bwana

Kama hujafik 33 pls nijulishe
Angalia, mtu akikutext kwa mara ya kwanza.. mfano "mambo, pole kwa hofu ya corona.....nilikuwa natamani tuwe marafiki" inapendeza sana. Unakuwa unajua lengo lake moja kwa moja, kuliko kuniacha kwenye sintofahamu kwamba kwanini huyu kani-text.
 
Tunaona ngumu sababu mtu mwenyewe alishapost thread akianzisha urafiki for no reasons anaukatisha tu/hajisikii tena

Inauma
 
Attachments

  • VID-20200320-WA0062.mp4
    601.7 KB
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Nakuja PM
 
Back
Top Bottom