MONRACE
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 640
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaah!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani mambo???
Pampula jamani nitumie pesa.
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Yesu.
Mwanangu hapa umemaliza kabsakwani unadhani mwanaume akikutafuta kuna nini kingine zaidi ya kutaka kulala na wewe, hamnaga cha urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yani hata maofisini hamna cha professional relations, ukikaa kilaini unatupiwa nyavu na unalika, ukitaka kuamini hamnaga urafiki btn men n women, simu mbusu au initiate sexual moves uone utafanywa nn
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli inakatisha tamaa na kuchukiza pia, lakini hii ni kutoka na hii foruma kuo toa notification kwa wakati . lakini pia hii inakuwa shida mwanzoni , mkielwena mnapeana mawasilianao yanayofikiwa kwa haraka.Pendael, utaanza kunitumia "Mambo"? Nijibu baada ya 3hrs "poa vipi". Wakati huo umelala, baada ya masaa matano unijibu "fresh za huko" wakati huo nimelala..inakatisha tamaa.
Tumia tu mamiiiPampula jamani nitumie pesa.
Khaaah!! Bia zimepanda kichwani eeh?Tumia tu mamiii
Naomba nijibu, mimi bado mgenikweli nmeamini sasa wewe umejiunga JF "feb 2020"
Poa Don C,Mambo!
Mazereu hayaKha!!! Makubwa haya, yaani mtu ajibu pm yako kwa uandishi wako huu ulojaa tamaa???? Woooiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli.Pia kumbuka JF imebeba kila aina ya watu wastaarabu, werevu, pretenders wa kila tabia. Mfano unaweza kuta huyo anaesound mstaarabu ni bonge la sadist.
Sent using Jamii Forums mobile app