Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Mwanangu hela yote uliyopiga na Jesse Pinkman bado tu unanyamazia watu
Nje ya mada, Jesse Pinkman na Mr White wameitendea haki ile movie. Nimeingalia kama mara mbili hivi, kuna scenario Jesse yuko hospitali baada ya kupigwa na Hank. Jesse alikua anavuta sigara eneo ambalo haliruhusiwi muuguzi mmoja akaja kumwambia hutakiwi kuvutia hapa,, ha ha hilo jibu la Pinkman ni balaa!!

Unaikumbuka hiyo sehemu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hawawezi kukujibu kwa sababu hawawezi kukuroga kupitia PM ya JF, waoa wanataka muonane ana kwa ana ili wakuroge uwe kitega uchumi wao.
 
Hapo sipakumbuki vzur ila nakumbuka dogo alikua amevimba mbaya, akatolewa nnje na wahuni wake na wheelchair kaenda kuvuta sigara nnje anakutana na hank nae analetea hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli na sasa hivi ndio zao, ilishawah kukukuta nini hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Imemkuta mfanyakazi mwenzetu baada ya kuchotwa akili na demu wake wa pembeni (Mpare/Mchagga)....jamaa alimwacha mkewe wa ndoa na watoto karibia mwaka mzima. Ndugu wakachunguza wakaambiwa alilishwa LIMBWATA na huyo demu. Wakamuokoa kwa njia wanayojuwa wenyewe, jamaa alipozinduka akakiri kuwa alikuwa hajuwi kama aliisaliti familia yake na hakujuwa kwanini alikuwa anaishi na yule changudoa wa Kilimanjaro.
 
Duh! Hata madem wa tanga ndio zso! Ila sasa hiv ni wote tuu haiangalii kabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna changudowa ya kisukuma imo humuu JF, nitaitafutiaga muda yake niiivueage nguo muhadharani
Don't make a promise you can't fulfill...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…